Akamtetee Afande Sele tuu peke yake maana wengine tumewaona wanavyopapatikia CCM....shame on them Wasaniii...SUGU lazima akasugue...jamaa angu kanambia mpinzani wake yuko HOSPITALINI KWA PRESUER

Jamani msikeshe mna kunywa pombe. Kazi bado. Mpaka matokeo YOTE ya MZA, Mbeya, k'jaro, Kagera and Moro/Dom yamepatikana. Baada ya hapo ndo watu waende Makanisani, misikitini, kwenye miti, pls don't drink pls......