Upo sahihi MkuuWAJAMENI, Matokeo yanavyoendeleaKENYA , Odinga hawezi kushinda
Kwa kuwa kura zilizopigwa ni milioni 11, nusu ya hizo nikura milioni 5.5
Kwa kuwa kwa sasa uhuru ana kura milioni 5
Kwa kuwa wagombeawengine nkura zao pamoja na zilizoharibika ni kama 0.5 milioni,
Hii ina maana odinga sasa hawezi kufikisha zaidi ya asilimia50.
Kwa hivyo kinachoendelea ni aidha uhuru atangazwe ktkmajumisho ya kura ya mwisho au aingie duru ya pili kura zisipotosha. Na kwa maana hiyo ODINGAHAWEZI KUSHINDA KWA DURU YA KWANZA.
KWA HIYO HATA KAMA UKILALAUSITEGEMEE UKASIKIA ODINGA ANATANGAZWA KASHINDA.
KUNA MAWILI AIDHA KUWE NADURU YA PILI AU UHURU ATANGAZWE
WAJAMENI, Matokeo yanavyoendeleaKENYA , Odinga hawezi kushinda
Kwa kuwa kura zilizopigwa ni milioni 11, nusu ya hizo nikura milioni 5.5
Kwa kuwa kwa sasa uhuru ana kura milioni 5
Kwa kuwa wagombeawengine nkura zao pamoja na zilizoharibika ni kama 0.5 milioni,
Hii ina maana odinga sasa hawezi kufikisha zaidi ya asilimia50.
Kwa hivyo kinachoendelea ni aidha uhuru atangazwe ktkmajumisho ya kura ya mwisho au aingie duru ya pili kura zisipotosha. Na kwa maana hiyo ODINGAHAWEZI KUSHINDA KWA DURU YA KWANZA.
KWA HIYO HATA KAMA UKILALAUSITEGEMEE UKASIKIA ODINGA ANATANGAZWA KASHINDA.
KUNA MAWILI AIDHA KUWE NADURU YA PILI AU UHURU ATANGAZWE
The best he can do ni kulazimisha uchaguzi kurudiwa.
Bado hajafikia 5.5 milion, usidanganye watu.
unachokisema ni sahihi kama imefikia hapo ............. Ila hiyo data umeipata wapi?? Source please!!
According to Kenya Elections: Elections 2013 - Elections Coverage matokeo mpaka sasa;
total vote: 9,626,382 from 224 of 290 repoted constituencies
uhuru kenytta: 4,828,090 (49.7 %)
raila odinga: 4,260,030 (43.9 %)
Kwani Uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya na akakutwa na makosa kwa hiyo kesi hawezi kuhukumiwa kwa sababu ni Rais wa nchi? maana nashindwa kuelewa kauli yako.Kwa kufuata taratibu zilizoainishwa na katiba yao mpya na siivinginevyo.....Pia Uhuru amepata kura nyingi pia kutokana na 'sympathy' kutoka kwa wakenya wanaomuonea huruma kutokana na kesi yake huko The Hague. Na hii imetokana na Raila kuibua suala hili wakati wa mdahalo wa kwanza. Swala lile lilionekana kuwa Raila hakuwa tayari kwa maridhiano kutokana na majeraha ya uchaguzi uliopita hivyo inaonekana Raila akiwa rais atasaidia watuhumiwa wahukumiwe na the Hague wakati wakenya wengi hawataki hiyo kitu.
Source ndugu yangu ni tv ya kenya kwa tunaotumia madishi ya free aiar kwa ku inaitwa k24 hiyo ni live update kuona na kusikia juu ya uchaguzi tu mpaka kieleweke saa 24, kwa sasa nikupe update maana natoka kidogo ni kuwa uhuru ana 5,115,704 na raila odinga ana 4,513,223. Umefanya vizuri kuuliza. Hiyo source yako nami ninayo isipokuwa inarekodi sio live. Live ni k24 wajameni
Kwani Uhuru Kenyatta akiwa Rais wa Kenya na akakutwa na makosa kwa hiyo kesi hawezi kuhukumiwa kwa sababu ni Rais wa nchi? maana nashindwa kuelewa kauli yako.
The best he can do ni kulazimisha uchaguzi kurudiwa.