N napstercracker New Member Jul 15, 2016 1 0 Jul 16, 2016 #1 Swali langu nikwamba matokeo yako yakiwa suspended na necta je! utakuja yapata au ndio wameshakufutia?
Swali langu nikwamba matokeo yako yakiwa suspended na necta je! utakuja yapata au ndio wameshakufutia?
L lizabriana Member Jun 20, 2016 27 5 Jul 19, 2016 #3 Nahs unauliza wale walowekewa s ? Ya mefutwa weng wao kwa kes za kuiba mtihan
Princess qute JF-Expert Member Jul 16, 2016 621 551 Jul 19, 2016 #4 lizabriana said: Nahs unauliza wale walowekewa s ? Ya mefutwa weng wao kwa kes za kuiba mtihan Click to expand... Walowekewa S kwani ndo wamefutiwa?
lizabriana said: Nahs unauliza wale walowekewa s ? Ya mefutwa weng wao kwa kes za kuiba mtihan Click to expand... Walowekewa S kwani ndo wamefutiwa?
pandagichiza JF-Expert Member Jul 9, 2013 4,643 3,020 Jul 19, 2016 #5 S ni witheld waiting approval na sababu ni examination irregularities ikithibitika yanafutwa