Perrez Amanaya7
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 225
- 253
Mpaka sasa hawajatoa then usahili wa mahojiano ni tarehe26 keshokutwa hapo kazi tunayo sisi tunaoishi nje ya dodoma pale ikitokea tumeitwa tena na maisha ya yenyewe ndio haya sasa.Kwahyo kada waliolalamika kuwa wamepigwa za uso ndo hyo Operation Officers na bado hawajatoa majibu nadhani
Mpaka sasa hawajatoa then usahili wa mahojiano ni tarehe26 keshokutwa hapo kazi tunayo sisi tunaoishi nje ya dodoma pale ikitokea tumeitwa tena na maisha ya yenyewe ndio haya sasa.
Kwakweli tunaomba iwe hivyo tu maana wakichelewa kutoa majibu then tumefanikiwa kupita basi shuhuli itaanzia hapo mkuu.Wanatoa hao Leo usiku, ndo mida Yao sema na nyie mlizidi kuwa wetu
Masihara hayo mkuu[emoji1787]Mna siku moja tu wanatoa kesho keshkutwa mzigoni
Sure mi ilikuwa ivyo mwaka juzi tena sisi tulikuwa wachache paper tulipiga kama leo yakatoka kesho saa 4 keshokutwa oral kipind bado utumishi ni kule kivukoni huwezi amini nimekuja kujua matokeo saa 2 usikqu then nilipita oral ndo balaa sijajiandaa kabisa kwanza nilichelewa🤣🤣🤣Masihara hayo mkuu[emoji1787]
Kama ilikuwa hivyo hongera sana mkuu kwa kufankisha, pia bahati nzuri nyie mlikuwa kivukoni pale kwa dsm ni rahisi kufika sasa sisi wa dsm kwenda dodoma bila kujua nini kina endelea huko Mpaka sasa ni mtihani mwingine huo nao bora wangetoa mapema tujue moja kwamba tunaanzia wapi mpaka sasa.Sure mi ilikuwa ivyo mwaka juzi tena sisi tulikuwa wachache paper tulipiga kama leo yakatoka kesho saa 4 keshokutwa oral kipind bado utumishi ni kule kivukoni huwezi amini nimekuja kujua matokeo saa 2 usikqu then nilipita oral ndo balaa sijajiandaa kabisa kwanza nilichelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekaa nachat na jamaa yangu usiku oy matokeo wanatoa lin ananiambia mbona yametoka tangu asubuhu leo nikaona ananitania akanitumia pdf na mm nikaangalia kweny account yangu nimepita
Safi San mkuu kwenye Uzi wa ajira lazm nikuoutege mkuuWanatoa hao Leo usiku, ndo mida Yao sema na nyie mlizidi kuwa wengi
Ungebaki we sogea tu pale kesho wanatoq na keshokutwa mzigoni kama haupo basiKama ilikuwa hivyo hongera sana mkuu kwa kufankisha, pia bahati nzuri nyie mlikuwa kivukoni pale kwa dsm ni rahisi kufika sasa sisi wa dsm kwenda dodoma bila kujua nini kina endelea huko Mpaka sasa ni mtihani mwingine huo nao bora wangetoa mapema tujue moja kwamba tunaanzia wapi mpaka sasa.
50 mambo yalikuwa mondo hukoDah ila si hii cuts points
Wameshatoa muda huu mkuu inabidi nijiandae na safar ya dodoma kesho hakuna jins.Ungebaki we sogea tu pale kesho wanatoq na keshokutwa mzigoni kama haupo basi
Kweli mkuu wamshatoa tayari[emoji1787]Wanatoa hao Leo usiku, ndo mida Yao sema na nyie mlizidi kuwa wengi
Jiandae bossWameshatoa muda huu mkuu inabidi nijiandae na safar ya dodoma kesho hakuna jins.
Yaaaah.. that's why nikawapanga vijna humu..Kweli mkuu wamshatoa tayari[emoji1787]
Ameen mkuu ngoja tuka pambane kwa hatua nyingine.Yaaaah.. that's why nikawapanga vijna humu..
Nadhani Kila mtu Sasa aangalie alichovuna..
Kila la kheri JobSeekers
HongerA mkuu, kumbe umepenya eehAmeen mkuu ngoja tuka pambane kwa hatua nyingine.
Acha tu mkuu naona mungu amependa maana pepa ilikuwa ya kibabe hatar.HongerA mkuu, kumbe umepenya eeh
Acha tu mkuu naona mungu amependa maana pepa ilikuwa ya kibabe hatar.
Ni eltwege