Matokeo ya written interview leo pale CBE

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,272
1,250
Kesho tarehe 12/12 kuna interview ya mchujo pale CBE kwa kada mbalimbali ambapo matokeo ya interview ya leo ndiyo yanategemewa kutoa washindi wa oral interview ya kesho. Waliahidi kutoa matokeo saa 12 jioni kwenye website ya PSRS lakini hadi sasa hawajatoa,

Najiuliza, kama interview ni kesho asubuhi waliopita written interview watajua saa ngapi ili waweze kujiandaa ukizingatia si kila mtu ana access na internet.
 

Posho City

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
643
250
Mimi mwenyewe nimefanya na ninaona kimya....cjui ni SELECTED au .....NOT SELECTED
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom