Matokeo ya Usaili wa mchujo TRA

Matokeo ya Usaili wa mchujo TRA

Lodrick Thomas

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
1,339
Reaction score
2,432
MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO-Business Analyst II & Systems Administrator II-TRA

Kwa wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wa mahojiano (Oral Interview) wanapaswa kuja na vitambulisho pamoja na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Usaili huo utafanyika tarehe 25-09-2017 katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira-Maktaba Kuu ya Taifa , kunzia saa moja kamili asubuhi.

Link:

Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
 
Unaona umewaaaahiiiii mwenyewe kutuletea,
Yaani siku moja kabla ndio unaleta wakati watu wanayo toka last week??
Ulichunguza kwanza kama kuna uzi wa aina hii before post here??
Umepitia hiyo link ukasoma kilichomo ndani?
 
Unaona umewaaaahiiiii mwenyewe kutuletea,
Yaani siku moja kabla ndio unaleta wakati watu wanayo toka last week??
Ulichunguza kwanza kama kuna uzi wa aina hii before post here??

Sio mbaya akiwakumbusha wengine sio kama wewe kama kuna mtu alisahau namba yake ya mtihani katika huo huo usaili wa tra kashindwa kujiona kama anatakiwa kuendelea usaili wa oral kwa nn wasikumbushwe?
 
Sio mbaya akiwakumbusha wengine sio kama wewe kama kuna mtu alisahau namba yake ya mtihani katika huo huo usaili wa tra kashindwa kujiona kama anatakiwa kuendelea usaili wa oral kwa nn wasikumbushwe?
Angeenda tu kwenye Uzi husika akawakumbushia tu kule kule mkuu
 
Naona wadau wengi wamepoa humu nadhani wengi walikua customs na wamekatwa kweli maana sizioni hata mbwembwe za watu wajiandae na vitu gani kwenye oral
 
Sio mbaya akiwakumbusha wengine sio kama wewe kama kuna mtu alisahau namba yake ya mtihani katika huo huo usaili wa tra kashindwa kujiona kama anatakiwa kuendelea usaili wa oral kwa nn wasikumbushwe?
Hapana mtoa mada yuko sahihi kabisa...hii ni interview ya pili ..post hiyo ilikuwa na practical..soma tangazo utaona...! Wana Jf wengi ni wavivu wa kusoma wanacho jua ni kucomment tuu
 
Natafuta Chuo kinachotoa kozi ya ADO kwaajili ya kuuza madawa, katika mikoa ya Iringa, Dodoma& Morogoro
 
Back
Top Bottom