Kwa wale walioomba nafasi za kazi Uhamiaji ktk vitengo vya Koplo na Konstebo majina yametoka..waweza tazama jina lako
#www .immigration.go.tz....Pia kwa walioomba nafasi TANROADS zilizotangazwa 5/May/13 majina yametoka....Weighbridge Operators nafasi 6 wameitwa watu 266 wakati Office attendants nafasi 2 wameitwa watu 124...usaili wa kuandika 08/07 wa kuongea 09/07 na Attendants 10/07 kuandika na kuongea 11/07,Venue:VETA-Tanga at 0900hrs....heri kwa wote!...(ila mhmhmh 266:6)