T Truth sniper Senior Member Joined Jan 22, 2012 Posts 149 Reaction score 234 Oct 24, 2022 #1 Habari wakuu, Wiki kadhaa zilizopita palifanyika usahili wa kada tofauti mwajiri akiwa IAA, Kuna yeyote amebahatika kupata wito wa ajira.
Habari wakuu, Wiki kadhaa zilizopita palifanyika usahili wa kada tofauti mwajiri akiwa IAA, Kuna yeyote amebahatika kupata wito wa ajira.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,563 Oct 24, 2022 #2 Kuna watu walifanya oral mwezi wa 6 na hadi sasa wanaendelea kusubiri kuitwa kazini. Kuwa mtulivu na omba Mungu uendelee kuwa mwenye siha njema, majibu yanaweza kuzoka mwakani
Kuna watu walifanya oral mwezi wa 6 na hadi sasa wanaendelea kusubiri kuitwa kazini. Kuwa mtulivu na omba Mungu uendelee kuwa mwenye siha njema, majibu yanaweza kuzoka mwakani
T Truth sniper Senior Member Joined Jan 22, 2012 Posts 149 Reaction score 234 Oct 24, 2022 Thread starter #3 Asante ndugu kwa taarifa mujarabu
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,650 Reaction score 81,555 Oct 24, 2022 #4 Mwifwa said: Kuna watu walifanya oral mwezi wa 6 na hadi sasa wanaendelea kusubiri kuitwa kazini. Kuwa mtulivu na omba Mungu uendelee kuwa mwenye siha njema, majibu yanaweza kuzoka mwakan Click to expand... Siha Njema unamaanisha nini?
Mwifwa said: Kuna watu walifanya oral mwezi wa 6 na hadi sasa wanaendelea kusubiri kuitwa kazini. Kuwa mtulivu na omba Mungu uendelee kuwa mwenye siha njema, majibu yanaweza kuzoka mwakan Click to expand... Siha Njema unamaanisha nini?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,563 Oct 24, 2022 #5 HAYA LAND said: Siha Njema unamaanisha nn? Click to expand... Siha = Afya
meck pro JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 1,355 Reaction score 2,932 Oct 24, 2022 #6 Mkuu endelea kusubir na utasubiri sana usiwe na haraka mambo Bado🤣🤣
WAZO2010 JF-Expert Member Joined Feb 19, 2021 Posts 1,616 Reaction score 3,799 Oct 24, 2022 #7 IAA kada zingine kama Assistant Lecturer mbona hajaita Interview hadi leo?
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Oct 24, 2022 #8 Kazi ukiona inachukua muda wewe katafute dira ingine washaweka ndugu zao siku nyingi
W wizy JF-Expert Member Joined Sep 23, 2016 Posts 4,193 Reaction score 10,454 Oct 24, 2022 #9 Mwifwa said: Kuna watu walifanya oral mwezi wa 6 na hadi sasa wanaendelea kusubiri kuitwa kazini. Kuwa mtulivu na omba Mungu uendelee kuwa mwenye siha njema, majibu yanaweza kuzoka mwakani Click to expand... 😂😂😂😂 Mwakani tena hahhh umeamua umuue kabisa
Mwifwa said: Kuna watu walifanya oral mwezi wa 6 na hadi sasa wanaendelea kusubiri kuitwa kazini. Kuwa mtulivu na omba Mungu uendelee kuwa mwenye siha njema, majibu yanaweza kuzoka mwakani Click to expand... 😂😂😂😂 Mwakani tena hahhh umeamua umuue kabisa