Kweli maendeleo ya wengi hayaletwi na wachacheWanaudhi sana
Ni kuwaza kuwa Kila Mtu mwenye mtazamo tofauti na Mwana CCM basi Yeye sio mzalendo, sio mtanzania, haitakii mema nchi! Huu ndio ujuha na ukuku ninaozungumzia. Hapa amemtanguliza tu Mama Samia kama shield 🛡️ Ili kuficha ujinga Wake.Acha kutumia uhuru vibaya mkuu ukuku wake Nini Sasa, maana hats Mimi sipendi kabisa kuitana Majina ya kuudhi
Tabia hii sio utamaduni wa mtanzaniaKwani huyu ndo rais wa kwanza kupachikwa hayo majina?
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Kwani hatuwezi kukosoa bila kupachikana Majina ya hovyo?Tusiotegemea uteuzi tumejituliza huku, hatuna shobo.. Mama akifanya vema tunamsifu anaupiga mwingi, akizingua vijana wanaruka nae kuwa ni mama tozo,
Shida iko wapi, au akiitwa mama tozo anatoka vidonda mwilini?
Huyu sasa NDIO Mama yetuTabia hii sio utamaduni wa mtanzania
Ila kumuita Magufuli Jiwe, Kayafa, Nzilankende hayo yalikuwa sahihi na utamaduni wa kitanzania. Bado kafa mkamuita majina ya hovyo kibao na kejeli za kutosha.Tabia hili sio utamaduni wa mtanzania
Hatuwezi.Kwani hatuwezi kukosoa bila kupachikana Majina ya hovyo?
TOZO ni jina la hovyo? Kwahio tunalipishwa vitu vya hovyo? Wisdom will kill me 😝Kwani hatuwezi kukosoa bila kupachikana Majina ya hovyo?
Ni kuwaza kuwa Kila Mtu mwenye mtazamo tofauti na Mwana CCM basi Yeye sio mzalendo, sio mtanzania, haitakii mema nchi! Huu ndio ujuha na ukuku ninaozungumzia. Hapa amemtanguliza tu Mama Samia kama shield 🛡️ Ili kuficha ujinga Wake
Wanasema tukazikwe nae Chato, dahIla kumuita Magufuli Jiwe, Kayafa, Nzilankende hayo yalikuwa sahihi na utamaduni wa kitanzania. Bado kafa mkamuita majina ya hovyo kibao na kejeli za kutosha.
Ukitaka kuwa rais ujue kuwa rais umekubali kuitwa majina ya ajabu, kwa haki na bila haki.Nawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.
Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu imepachikwa TOZONIA hawa wapuuzi wanaudhi sana.
Nimeamini watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.
Ukiacha urais mama SAMIA ni mtanzania anayepaswa kuheshimiwa kama mtanzania mwingine, kumkejeli na kumtukana hovyo si sawa kabisa.
Mama SAMIA ni nguli na jabali la siasa Tanzania na AFRIKA nina amini kejeli matusi na Majina haya ya hovyo hayawezi kusababisha ashindwe kuwatumikia na kuwaletea maendeleo watanzania, atawapuuza Wapuuzi hao.
lkn Hoja yangu ni kwamba kwa Nini watanzania baadhi yetu tunashindwa kuheshimiana tukipewa uhuru tunageuka watukanaji, waasi, na wasioheshimuna kujali utu wa wengine.
Kumbukeni uhuru ni Bora kuliko tozo ni lazima tujitolee kuijenga Tanzania yetu.
Pia tunakupongeza sana mama HATUA ZOTE zinazohusu mchakato wa SENSAYA WATU NA MAKAZI zinaendelea vizuri sana wananchi wako tayari kuhesabiwa.
Ulikuwa mwanagang,unatamani kuendeleza agenda za wanagang🤔Nawasalimu kwa jina la JMT