Matokeo ya mwisho haya hapa:
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]Chama cha Mapinduzi[/TD]
[TD]5377[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama cha Demokrasia na maendeleo[/TD]
[TD]281[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama cha Wananchi[/TD]
[TD]223[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TADEA[/TD]
[TD]14[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]FFP[/TD]
[TD]8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kura zilizopigwa[/TD]
[TD]5902[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kura zilizoharibika[/TD]
[TD]28[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wasiopiga kura[/TD]
[TD]2852[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
this is a ****,nimewaambia chadema kule
hamshindi ila mna jitangaza zenji vizuri sasa.
Hivi utajuaje kuwa wanaongoza, wakati kura bado hazajaanza kuhesabiwa? Hata mimi ningependa iwe hivyo lakin kura ni siri ya mtu. TUVUTE SUBIRAHabari ndiyo hiyo,CHADEMA inaongoza shehia kibao.Stay tuned nitawamwagia full data muda si mrefu.
Hivi utajuaje kuwa wanaongoza, wakati kura bado hazajaanza kuhesabiwa? Hata mimi ningependa iwe hivyo lakin kura ni siri ya mtu. TUVUTE SUBIRA