Matokeo ya TP Mazembe

Matokeo ya TP Mazembe

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,779
Reaction score
31,297
Naomba kujua matokeo ya TP Mazembe jamani,wamecheza jana na wale wa Egypty sijui wanaitwa Zamalek
 
walishinda 1-0 alifunga jamaa anaitwa kalaba
 
Back
Top Bottom