Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,925
- 31,850
....mie nadhani sababu za shule mji wa Dar kuwa wa mwisho ni pamoja na;
...shule nyingi kuwa DAY na sio BOARDING,
...Boarding,huwa kuna mazingira rafiki ,kwa mwanafunzi kufanya vizuri,kwani hakuna vitu kama kugombania usafiri,na pia muda mwingi wanatumia kwenye masomo(prepo)n.k
Kugombania usafiri,mikazi ya nyumbani,na kwa sababu wako mjini,kujirusha kama kazi,sasa huyu atasoma saa ngapi?.......................
...Pia Dar watoto ni wengi,so mji unashika alama za mwisho,sababu wanafunzi hawapati one to one support darasani ,sababu wako wengi.................................................
hizi ni assumptions tu,je ni kweli shule za Boarding na zenye wanafunzi wachache ndio zinaoongoza???????sijafanya utafiti lol msinishushue