Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Rais Jakaya Mrisho Kikwete,kesho anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi na kutangazwa kwa matokeo ya Idadi ya watu nchini Tanzania.Mwenyekiti wa Taifa wa Kamati ya Sensa,Waziri Mkuu Mizengo Peter Pinda ametoa taarifa hiyo leo. Sherehe hizo zitafanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Kesho tutajijua tupo wangapi.Kesho tutajua kama akina-Sheikh Ponda kama walihesabiwa au la. Kesho tutasikia ni vipi kujua idadi ya watu kunasaidia kupambana na hali ngumu ya maisha inayowakabili watanzania kila siku.Kesho watuambie,sisi wanaume tupo wangapi na wanawake wangapi.Ni kesho...
Tupo million 50 Wakristu million 42 na wengineo million 8 Myahudi ni mimi pekee
Na mimi na familia yangu pia hatukuhesabiwa kwa hiyo katika jumla ongeza 5 kupata idadi kamiliMimi sikuhesabiwa
Tupo million 50 Wakristu million 42 na wengineo million 8 Myahudi ni mimi pekee
Mwenyekiti wa Taifa wa Kamati ya Sensa,Waziri Mkuu Mizengo Peter Pinda ametoa taarifa hiyo leo. Sherehe hizo zitafanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
.
Sherehe? Shilingi ngapi zitatumika kwenye hiyo 'sherehe?. Hivi hatuwezi kuzindua sensa bila 'sherehe? Deni la taifa linapaa lakini bado hatuoni kubana matumizi!
Mimi nilikuwa mhesabuji maeneo flani dar, kila kaya watu kibao, ila dodoso linaaccomodate watu 8 tu. Mwanzoni nilikuwa naweka attachment, baadaye mkono ulivochoka kushade, nikabaki kwenye minimum requirements. Kwa hiyo kwenye hiyo idadi jumlisha pia watu kadhaa waliozidi pale kwenye 8.Na mimi na familia yangu pia hatukuhesabiwa kwa hiyo katika jumla ongeza 5 kupata idadi kamili
wamesema wale ambao hawakutaka kuhesabiwa kwa makusudi wamejumuishwa kwenye idadi ya nguruwemimi sikuhesabiwa
Wale ambao bado hatujalipwa hela zetu za sensa, itakuwaje matokeo yakitangazwa kabla ya malipo????????