Kamakabuzi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2007 Posts 2,904 Reaction score 1,365 Oct 25, 2017 #1 Nimeangalia matokeo ya waliokata rufaa ya matokeo yaliyotolewa na NECTA kidato cha sita mwaka 2017. Naona ni kama hakuna aliyebadilishiwa matokeo. Je wanaokata rufaa mko makini au huwa mnajaribu tu! Fuata link hii http://www.necta.go.tz/files/MATOKEO YA RUFAA AWAMU I ACSEE2017.pdf
Nimeangalia matokeo ya waliokata rufaa ya matokeo yaliyotolewa na NECTA kidato cha sita mwaka 2017. Naona ni kama hakuna aliyebadilishiwa matokeo. Je wanaokata rufaa mko makini au huwa mnajaribu tu! Fuata link hii http://www.necta.go.tz/files/MATOKEO YA RUFAA AWAMU I ACSEE2017.pdf