Matokeo ya plan ya kuiua CHADEMA katika picha

Kula kulala huwa hamjifichi
 
Hata usipo mpenda lkn mamilioni ya Watanzania wapo naye na wapo tayari kumchagua kuwa rais wa Tanzania
 
Ubarikiwe sana mzalendo mwenzetu wa kweli
 
Hakuna lolote , CHADEMA imezidi kusinyaa kuliko ilivyokuwa kabla ya 2015. Kuna vitu nchi hii ni very overrated kama CHADEMA, Membe na Lisu, jamani hakuna kitu hapo, ngoja uchaguzi upite tuone tathmni ya matokeo.

Mtaji pekee wa ushawishi wa CHADEMA umebaki mitandaoni, ile nguzo yake kuu (harakati / maandamano) imeshabalansiwa vizuri kabisa na wananchi kwa sasa ni wachache mno wenye utayari wa hayo mambo. Wacha muda uende labda kuna wakati kale kaglory walikokuwa nako katarudi lakini kusema kweli kwa sasa upepo hauko uelekeo wao, ni ubishi tu na kujifariji ndicho kinachotumika hapa lakini kwa wanaoona ukweli, CHADEMA wakati sio wenu.
 
Wananchi wengi sana wanachuki na ccm! Safari hii hawadanganyiki , watawapiga spana tu. Mnajifanya wapole wakati wa uchaguzi tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…