diploma au bachelor?machaguo ya vyuo nacte tayari cheki profile yako
Yametoka lin wadauSecond round au
Yametoka lin wadau wenzangmachaguo ya vyuo nacte tayari cheki profile yako
Yametoka, ila confirmation bado.Yametoka lin wadau wenzang
Mbona mm bado wameniandikia vilevile inakuwaje wadau.diploma au bachelor?
Mbona mm bado wameniandikia vilevile inakuwaje wadau.
Pass zako zikojeMbona mm bado wameniandikia vilevile inakuwaje wadau.
Nina GPA ya 1.3Pass zako zikoje
Mmmh huu mtihaniNina GPA ya 1.3
Me ilikuwa kama ivi saivi imelud kama zamani tena selected afu chuo hawajaonesha hivi ni kwaniniYametoka, ila confirmation bado.
see below
SELECTION STATUS:
Congratulations!
You have been Selected to Join
ORDINARY DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE Programme
of ECKERNFORDE TANGA UNIVERSITY INSTITUTE OF HEALTH SCIENCES.
The Institution will communicate with you for confirmation and Joining Instructions.
Chuo kitawasiliana nawe ili kuthibitisha kujiunga na kukupatia maelekezo ya kujiunga.
CONFIRMATION STATUS:
PENDING
Wa mwaka 2014Mmmh huu mtihani
Are you sure na unachokiongea? Yaani chuo kiwe kimemaliza machaguzi, na hongera upewe na hapo kabisa wamekuambia watafanya process za joining instruction...chuo gani hicho kwanza tukitumbue..Me ilikuwa kama ivi saivi imelud kama zamani tena selected afu chuo hawajaonesha hivi ni kwanini