juma kaseja kaibuka shujaa sasa hivi baada ya kuokoa mkwaju mmoja kati ya mitano ya wa penati na kuisababisha uganda cranes kushindwa na kilimanjaro stars kwa bao 5-4 neshno jipya jijini dar ambapo wapigaji wote wa kili stars walipata katika gemu la tusker cecafa challenge cup lililomalizika sasa hivi