Matokeo ya mechi za leo

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Ninaomba Wana JF walio na matokeo ya mechi za leo watuwekee. Asanteni sana
 
Jamani wanamichezo JF tupasheni kunani uwanja wa Taifa Ethiopia na I/Coast na kinachoendelea kati ya UG na Kili Stars. Wengine tuko ughaibuni tunawategemea wenzetu mliopo hapo home mtupashe.
 
nimepata sms hapa newala kuwa Ivory Coast imeshinda. Sikuambiwa magoli mangapi. Halafu dakika 120 za Kili Star zimeisha bila bila. Aliye na matokeo ya matuta atupe taarifa.
 
juma kaseja kaibuka shujaa sasa hivi baada ya kuokoa mkwaju mmoja kati ya mitano ya wa penati na kuisababisha uganda cranes kushindwa na kilimanjaro stars kwa bao 5-4 neshno jipya jijini dar ambapo wapigaji wote wa kili stars walipata katika gemu la tusker cecafa challenge cup lililomalizika sasa hivi
 
Mechi nyingine kwenye kombe la Mabara, mpaka sasa dk 78 TP Mazembe inaongoza kwa Goli Moja dhidi ya Pachuca
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom