Matokeo ya mbeya cty vipi jamani?

Matokeo ya mbeya cty vipi jamani?

Naomba mnijulishe matokeo ya mbeya cty na kagera sugar

..MZUNGUKO WA 2 VPL:Matokeo mechi za ufunguzi Ligi Kuu Bara;
Ashanti 1-2 Yanga,
Azam 1-0 Mtibwa,
Coastal 1-1 Oljoro.
Kagera 0-1 Mbeya City, mechi hii ilikuwa bado inaendelea...
 
Kwa taarifa ya sasa mechi imeisha mbeya city 1 kagera 0 , moto wa mbeya city unaendelea
 
Leo kwa hali ilivyokuwa mbeya waweza fikiri mechi ilikuwa hapa , kila unapopita basi utakutana na shabiki wa mbeya kafaa jezi na mzula wa mbeya city , jamaa wanasapoti hawa!
 
Mbeya we are flying high-high.....ubingwa wetu huu.

Mbeya city kutoka ligi daraja la kwanza mpaka ubingwa ligi kuu.
 
mbeya city wanaloga sana..wapinzani wao wanalalamika wakicheza nao hawaoni mpira
 
Back
Top Bottom