Matokeo ya Lowassa kujiunga CHADEMA

Matokeo ya Lowassa kujiunga CHADEMA

Ubora

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
664
Reaction score
255
MATOKEO YA LOWASSA KUJIUNGA CHADEMA
1. JAMES MBATIA amekuwa mwanachama na mdau wa CHADEMA kuliko NCCR MAGEUZI
2. FREDRICK SUMAYE amekuwa muhimu UKAWA kuliko wanachama wa CHADEMA, NCCR, CUF na NLD walioanzisha UKAWA
3. Viongozi wa upinzani wameporomoka kifikra kabisa wapo tayari kukana hata majina yao kumfurahisha LOWASSA
4. Vijana wa UKAWA wamekuwa mafundi wa kufanya editing ya picha fake kupotosha umma kwa uongo kutafuta huruma kwa umma
5. GODLESS LEMA amepunguza tabia ya kuundaa mipango ya kujiteka ili aseme mafisadi wanataka kumuua
6. CUF imebaki zanzibar tu huku Bara hata jina tunaanza kulisahau kabisa
7. Vijana na viongozi wa UKAWA wanampenda na kumuabudu LOWASSA kuliko hata Mungu wao, kubwa kuliko wengine wapo tayari kusema kijani ni njano kumfurahisha mzee
8. Mke wa LOWASSA yaani Regina LOWASSA amekuwa mwenyekiti wa BAWACHA taifa HALIMA MDEE amekuwa mbeba ma file wa REGINA LOWASSA.
9. Wapinzani Tanzania wamekuwa waigizaji wazuri kuliko hata wasanii wetu wa bongo movies.
10. Wapinzani wanalipa vizuri posho Wajumbe angalau watanzania tumesahau mikuki ya vijana wa UKAWA siku hizi nao bia wananua
 
11. sadaka zinakusanywa kwenye mikutano nyingi kuliko nyumba za ibada
 
11. Na wewe umepata ajira hapa mtandaoni kwa sababu Lowasa amehamia UKAWA.
 
Kerere za chura hazimzuii mwenye kiu kunywa maji, yaani safari hii hata mje na Uchonganishi gani, uzushi wote, uongo na matusi ya kila aina Watu wameamua ni mabadiliko tu, pigeni kampeni propaganda zote lakini Watanzania wa sasa wapo makini sana hawadanganyiki.
 
Wanangu wana CCM poleni sana, inabidi muzoee maisha mapya ya kula mihogo na maji kama sisi na sisi sasa tuanze kura vizuri kama ninyi.
 
ccm kubalini Ukweli Lowasa kawashika Pabaya maana sasa hampati usingizi mda wote wa masaa 24 huwa mnamuwaza Lowasa na mbinu za kumkwamisha, adui wake mkubwa Membe sasa yupo hoi kakonda hana hamu na mafuriko ya mabadiliko, sasa kaamua kubuni mbinu za mwisho mwisho zikifeli ataamua kwenda kumpigia magoti Lowasa aombe msamaha maisha yaendelee, ccm wenyewe walimkata jina Dodoma wakaona hafai ! inashangaza sasa kahamia Ukawa bado wapo busy kumwandama kila siku. ! Goli la mkono la Nape na Ushirikina wa January makamba navyo sasa inaelekea vitafeli ndio Maana wanahaha na huenda wakapagawa zaidi kama si kuchanganyikiwa kabsa.
 
ccm wajiandae kuwa chama cha Upinzani kama KANU ya kenya, Zambia, Malawi, Nigeria wamekubali mabadiliko bila tatizo iweje Tanzania ccm wanayaogopa mabadiliko?
 
ccm kubalini Ukweli Lowasa kawashika Pabaya maana sasa hampati usingizi mda wote wa masaa 24 huwa mnamuwaza Lowasa na mbinu za kumkwamisha, adui wake mkubwa Membe sasa yupo hoi kakonda hana hamu na mafuriko ya mabadiliko, sasa kaamua kubuni mbinu za mwisho mwisho zikifeli ataamua kwenda kumpigia magoti Lowasa aombe msamaha maisha yaendelee, ccm wenyewe walimkata jina Dodoma wakaona hafai ! inashangaza sasa kahamia Ukawa bado wapo busy kumwandama kila siku. ! Goli la mkono la Nape na Ushirikina wa January makamba navyo sasa inaelekea vitafeli ndio Maana wanahaha na huenda wakapagawa zaidi kama si kuchanganyikiwa kabsa.

Lowassa hasumbui wanasumbua fuata upepo
 
MATOKEO YA LOWASSA KUJIUNGA CHADEMA
1. JAMES MBATIA amekuwa mwanachama na mdau wa CHADEMA kuliko NCCR MAGEUZI
2. FREDRICK SUMAYE amekuwa muhimu UKAWA kuliko wanachama wa CHADEMA, NCCR, CUF na NLD walioanzisha UKAWA
3. Viongozi wa upinzani wameporomoka kifikra kabisa wapo tayari kukana hata majina yao kumfurahisha LOWASSA
4. Vijana wa UKAWA wamekuwa mafundi wa kufanya editing ya picha fake kupotosha umma kwa uongo kutafuta huruma kwa umma
5. GODLESS LEMA amepunguza tabia ya kuundaa mipango ya kujiteka ili aseme mafisadi wanataka kumuua
6. CUF imebaki zanzibar tu huku Bara hata jina tunaanza kulisahau kabisa
7. Vijana na viongozi wa UKAWA wanampenda na kumuabudu LOWASSA kuliko hata Mungu wao, kubwa kuliko wengine wapo tayari kusema kijani ni njano kumfurahisha mzee
8. Mke wa LOWASSA yaani Regina LOWASSA amekuwa mwenyekiti wa BAWACHA taifa HALIMA MDEE amekuwa mbeba ma file wa REGINA LOWASSA.
9. Wapinzani Tanzania wamekuwa waigizaji wazuri kuliko hata wasanii wetu wa bongo movies.
10. Wapinzani wanalipa vizuri posho Wajumbe angalau watanzania tumesahau mikuki ya vijana wa UKAWA siku hizi nao bia wananua

Umebadili tabia au ID?

Join Date : 27th September 2015
Posts : 98
Rep Power : 320
Likes Received 40
Likes Given 0
 
11. Na wewe umepata ajira hapa mtandaoni kwa sababu Lowasa amehamia UKAWA.

Bora mwenzio kam kapata ajira ila ww umepata temple ya kumtetea uyo fisadi wako lowasa, akipata anachokitaka ww unarud kwny kaz yako ya kushinda kijiweni
 
Hao walishatuchosha mccm hawezi kunishawishi hata sk moja nikamuelewa
 
Back
Top Bottom