Matokeo ya leo simba 0 bunamwaya 3 ;simba out


Mkuu Pdidy mpira haujaisha tunasubiri matokeo.
 
Ha ha ha ha ha ishavuka mambo saaaaaafii! kapotea huyo atasema nini hapa!
 
P-Diddy,

Hivi matokeo ya Mnyama na Bunamwaya ngapi?

Nadhani kiwango kilicho onyeshwa na Mnyama ni kama kile cha Barcelona vs Man U.

Vijana wamenipa raha mpaka basi --

Mnyama anatisha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…