Kwenye hili hapana..!! Maana hata asubiri hadi mwakani, mwenye four atabaki nayoSubira yavuta kheri...
Mkuu kwani kipi kinaanza kati ya maombi ya vyuo na maombi ya mkopo?Ngoja upate amotokeo uanze kugombana na vyuo, ikiisha ya vyuo inakuja ya heslb mbona utaleta Sana thiridi humu.
Sawa, tunasubiriMatokeo ni kesho, mjiandae!