Matokeo ya Kidato cha pili yametoka?

Matokeo ya Kidato cha pili yametoka?

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,372
Reaction score
55,027
Naomba kuuliza,Wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha pili mwaka 2016 matokeo yao yamekwisha toka?

Kama tayari basi naomba nipate link niweze kuyatazama (maana nimetafuta kwenye website ya baraza la mitahani hapa nchini sijayaona).

Natanguliza shukurani.
 
ukiona ndalichako yuko kimya ujue bado
 
Bado tunayachakachua kwanza mkuu si Unajua hii mitoto ya kizazi cha whatsapp haisomi. Tunavyoona hapa tukiyatoa haya matokeo jinsi yalivyo Kwa uhalisia wake yatafanya boss wangu Prof kibarua kiote nyasi.

Mtusubilini kama wiki moja hivi ila by tr 7 tunaachia kitu
 
Ahahahaha...hayasomieeeh,dooooh
 
Back
Top Bottom