Matokeo ya kidato cha nne 2011 ya natoka lini?

hiv ni kwanini mtu hana uhakika na habari ya kutoka kwa matokeo then anakuja na tarehe za uwongo?km ni mbinu ya kuulizia si useme tu unaulizia matokeo ya kidatau cah nne 20011 yatatoka lini?na kwa mwenye taarifa ni vizuri kutujuza kuliko kuacha hiv kila mtu anakuja na lake tena wengine kwa inavyooneka kwa makusudi au wanafanya mzaha wakati watu wapo serious!
 
....dogo keeps on saying kagonga div.I ya pt.7 cjui anaotaaa...well keep on being patient, yatawekwa kwenye website ya necta 2moro!!!at long long long last, you heard!!!!
 
Kuna uzi umepita kama huu kuna mdau kasema kesho ndio yanatoka.
 
Back
Top Bottom