NR'S Senior Member Joined Feb 14, 2012 Posts 106 Reaction score 12 Sep 29, 2012 #1 Wanajamvi nimeshidwa kabisa kupata matokeo ya kidato cha nne mwaka 1996. So naomba msaada kwa anayejua nitayapataje?
Wanajamvi nimeshidwa kabisa kupata matokeo ya kidato cha nne mwaka 1996. So naomba msaada kwa anayejua nitayapataje?
F fidelis zul zorander JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 687 Reaction score 179 Sep 29, 2012 #2 Hakunaga hiyo..
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Sep 29, 2012 #3 sidhani.......
Prof Gamba JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 390 Reaction score 267 Sep 29, 2012 #4 Mpaka NECTA ofisini kwao, yako hard copy.
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 895 Sep 29, 2012 #5 dah.hayo ya mbali sana mkuu. Ngumu kuyapata kwenye intanet
M Mzee wa fund JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 514 Reaction score 90 Sep 29, 2012 #6 Prof Gamba said: Mpaka NECTA ofisini kwao, yako hard copy. Click to expand... Haswa!.
N Nyakipambo JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 435 Reaction score 141 Sep 29, 2012 #7 duh we wa zamani!
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Sep 29, 2012 #8 Matokeo unayotafuta ni ya kwako? Nenda manually necta ukiwa na namba ya mtihani manke hawakubali jina. Kama ni mchumba una-back check cv kubali kuvishwa kanyaboya.
Matokeo unayotafuta ni ya kwako? Nenda manually necta ukiwa na namba ya mtihani manke hawakubali jina. Kama ni mchumba una-back check cv kubali kuvishwa kanyaboya.
Zipapa zipapa JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 409 Reaction score 118 Jul 5, 2017 #9 hivi hawa necta si wangetusaidia kutuwekea matokeo ya miaka ya nyuma online na akina sisi tuwe kielektroniki?????
hivi hawa necta si wangetusaidia kutuwekea matokeo ya miaka ya nyuma online na akina sisi tuwe kielektroniki?????
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,869 Reaction score 11,486 Jul 5, 2017 #10 Mwaka huo T.O nirkuwa mm apa