Tunatafuta matokeo ya jumla shule ipi ya Kwanzaa na kumi bora ni zipi maaana naona kuna ukimya umetanda Mwaka huuu Juu Ya hili, miaka yoooote huwa kuna mwembwe nyiiiiiiingi juuu ya shule iliyoongoza na kumi bora Lakini Kwa Leo ukimia umezid
Sent using
Jamii Forums mobile app