Setuba Noel
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 426
- 210
Wametangaza kuwa ufaulu umeongezeka kutoka 43% ya mwaka jana hadi 88%. Lakini hili ni changa la macho, hali ni ile ile. Ngojeni nikuonesheni walichofanya.
- Wamechomeka grades nyingine katikati. Miaka iliyopita kulikuwa na grades A, B, C, D na F, na points zake zilikuwa 1,2,3,4,5 respectively. Mwaka huu grades ziko 7 ambazo ni A, B+, B, C, D, E na F, na points zake ni 1 hadi 7 kwa mfuatano huo. Hizi grades za mwisho kuanzia D zimevutwa, zile marks zilizokuwa F wamezigawanyia kwenye E, halafu ile F ikawa na marks za chini sana.
- Divisions zimebadilika katika mgawanyo wa points. Hapa chini oneni ilivyokuwa kabla na sasa:
- [TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]kabla
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]Sasa
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Division
[/TD]
[TD]Points range
[/TD]
[TD]Division
[/TD]
[TD]Points range
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]I
[/TD]
[TD]7-17
[/TD]
[TD]I
[/TD]
[TD]7-17
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]II
[/TD]
[TD]18-22
[/TD]
[TD]II
[/TD]
[TD]18-24
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]III
[/TD]
[TD]23-25
[/TD]
[TD]III
[/TD]
[TD]25-31
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]IV
[/TD]
[TD]26-33
[/TD]
[TD]IV
[/TD]
[TD]32-45
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]0
[/TD]
[TD]34-35
[/TD]
[TD]0
[/TD]
[TD]46-49
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Siri iko kwenye hizo divisions 4 na zero, utaona katika jedwali hapo juu kuwa wigo wa zero ni mdogo sana, na ule wa division four ni mkubwa kuliko zote. Maana yake ni kuwa wengi ambao wangepata division zero wamezawadiwa division four, na hii ndio iliyotumika kutupiga changa la macho kuwa ufaulu umeongezeka.
Hili ni janga kubwa kwa kweli.Wametangaza kuwa ufaulu umeongezeka kutoka 43% ya mwaka jana hadi 88%. Lakini hili ni changa la macho, hali ni ile ile. Ngojeni nikuonesheni walichofanya.
- Wamechomeka grades nyingine katikati. Miaka iliyopita kulikuwa na grades A, B, C, D na F, na points zake zilikuwa 1,2,3,4,5 respectively. Mwaka huu grades ziko 7 ambazo ni A, B+, B, C, D, E na F, na points zake ni 1 hadi 7 kwa mfuatano huo. Hizi grades za mwisho kuanzia D zimevutwa, zile marks zilizokuwa F wamezigawanyia kwenye E, halafu ile F ikawa na marks za chini sana.
- Divisions zimebadilika katika mgawanyo wa points. Hapa chini oneni ilivyokuwa kabla na sasa:
- [TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]kabla[/TD]
[TD][/TD]
[TD]Sasa[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Division[/TD]
[TD]Points range[/TD]
[TD]Division[/TD]
[TD]Points range[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]I[/TD]
[TD]7-17[/TD]
[TD]I[/TD]
[TD]7-17[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]II[/TD]
[TD]18-22[/TD]
[TD]II[/TD]
[TD]18-24[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]III[/TD]
[TD]23-25[/TD]
[TD]III[/TD]
[TD]25-31[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]IV[/TD]
[TD]26-33[/TD]
[TD]IV[/TD]
[TD]32-45[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]0[/TD]
[TD]34-35[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]46-49[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Siri iko kwenye hizo divisions 4 na zero, utaona katika jedwali hapo juu kuwa wigo wa zero ni mdogo sana, na ule wa division four ni mkubwa kuliko zote. Maana yake ni kuwa wengi ambao wangepata division zero wamezawadiwa division four, na hii ndio iliyotumika kutupiga changa la macho kuwa ufaulu umeongezeka.
Wametangaza kuwa ufaulu umeongezeka kutoka 43% ya mwaka jana hadi 88%. Lakini hili ni changa la macho, hali ni ile ile. Ngojeni nikuonesheni walichofanya.
- Wamechomeka grades nyingine katikati. Miaka iliyopita kulikuwa na grades A, B, C, D na F, na points zake zilikuwa 1,2,3,4,5 respectively. Mwaka huu grades ziko 7 ambazo ni A, B+, B, C, D, E na F, na points zake ni 1 hadi 7 kwa mfuatano huo. Hizi grades za mwisho kuanzia D zimevutwa, zile marks zilizokuwa F wamezigawanyia kwenye E, halafu ile F ikawa na marks za chini sana.
- Divisions zimebadilika katika mgawanyo wa points. Hapa chini oneni ilivyokuwa kabla na sasa:
- [TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD]kabla[/TD]
[TD][/TD]
[TD]Sasa[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Division[/TD]
[TD]Points range[/TD]
[TD]Division[/TD]
[TD]Points range[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]I[/TD]
[TD]7-17[/TD]
[TD]I[/TD]
[TD]7-17[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]II[/TD]
[TD]18-22[/TD]
[TD]II[/TD]
[TD]18-24[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]III[/TD]
[TD]23-25[/TD]
[TD]III[/TD]
[TD]25-31[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]IV[/TD]
[TD]26-33[/TD]
[TD]IV[/TD]
[TD]32-45[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]0[/TD]
[TD]34-35[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]46-49[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Siri iko kwenye hizo divisions 4 na zero, utaona katika jedwali hapo juu kuwa wigo wa zero ni mdogo sana, na ule wa division four ni mkubwa kuliko zote. Maana yake ni kuwa wengi ambao wangepata division zero wamezawadiwa division four, na hii ndio iliyotumika kutupiga changa la macho kuwa ufaulu umeongezeka.
cdhan kma serikali ni ya kuilaumu sana,mi naona wanafunzi wenyewe now days hakuna k2,huwez amin mbna mm nilikua sifuatilii kufundshwa na walimu darasani,?na nimefaulu vzur sana,lakn now days watoto vilaza sana wakichangiwa na uvivu wa wazazni jambo la kusikitisha mno. baada ya kutatua matatizo ya msingi kuboresha elimu. wanacheza na points ili kuwapumbaza wazazi na wananchi kwa ujumla waamini kuwa elimu imeboreka kwa kuongezeka ufaulu. sipati picha tunajenga kizazi gani kwa mwendo huu.
mikazó;8767365 said:cdhan kma serikali ni ya kuilaumu sana,mi naona wanafunzi wenyewe now days hakuna k2,huwez amin mbna mm nilikua sifuatilii kufundshwa na walimu darasani,?na nimefaulu vzur sana,lakn now days watoto vilaza sana wakichangiwa na uvivu wa wazaz
Hili ni janga kubwa kwa kweli.
Ukiangalia vizuri tunazidi kujenga taifa la vilaza kwa kupalilia ujinga kama huu. Kama j\hali ndo hivi tujue CCM wanatupeleka shimoni tukiona hivi hivi. Iweje mamboi yafanye hivi? ni ili kupata taifa gani? tutafakari sana wanajamii na wadau wa elimu. tulisemee hili suala wazi na watupe majibu. tunapeleka wapi hi elimu?