Matokeo ya CPA kawaida huwa yanatoka kabla ya xmas ambapo January inapoanza watu wanakuwa wanaanza maandilizi ya kusoma kwa ajili ya masomo yajayo ila awamu hii imekuwa tofauti mpaka sasa matokeo hayajatoka na hayajulikani yatatoka, hivyo kupelekea wanafunzi kutojielewa kwa kuwa walimu washaanza kufundisha ila wanafunzi hawajui kuwa wanarudia masomo au...
Inasemekana bodi iliyokuwepo muda wake umeisha toka September 2017 hivyo inatakiwa prezidaaa ateue mwenyekiti mwengine wa bodi ndo waweze kuendelea na masuala ya kutoa matokeo
Kwa yeyote anayehusika muda unaenda sana tunaomba kama kuna utaratibu mwengine wa kufuatwa ufuatwe ili tujue 1.