monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 887
- 1,596
Saut mwanza au ?? vipi kuhusu stella maris mtwaraSaut ingia profile lako kuna majibu ya awali kama umepata nafasi au lah… but waiting for confirmation
Sawa mkuuNasikia Udom wametoa asa nilivyocheki naona marue rue tu so hebu jaribu kuwa unatembelea web za vyuo ulivyoomba mkulu
Kwa diploma au degree?Saut ingia profile lako kuna majibu ya awali kama umepata nafasi au lah… but waiting for confirmation
Rejea post ya mtoa uziKwa diploma au degree?
Subiri tarehe 2/10/2017 TCU ndio watatangata official hayo matokeoHabari wakuu,
Nauliza vipi kuhusu matokeo ya wanafunzi wanaotarajia kupata elimu ya chuo kikuu 2017/2018 tarehe maalum ya kutoka ni lini?
ina maana kila chuo kinatoa matokeo kwa kujitegemea?
Au yanatoka kupitia TCU?
Na vipi kuhusu tetesi za baazi ya vyuo kuachia matokea
Natanguliza shukrani.