Dahhh sasa hapo CBE mumemwaga Mzee mallole Jamani mzee wa mashule mengi hapo Dodoma vipi uko UDO,USTAWI WA JAMII NA MAENDELEO University?
Kuweni makini David Mallole ni Mjanja sana hutumia shule anazo zi sponsor na hao wanafunzi ndio wamempigia kura David mallole na ndio karata aliyo itumia wkati wa kura za maoni katika chaguzi zao hao CCM dodoma mjini kwani twakumbuka kabisa walio kuwa wna vuma sana ni Anthony Mavunde, Adam Kimbisa, Elias P. Ndejembi, Mallole wasnt in the list at all kwani baada ya kusubilia matokeo akachomekea zile kura za wanafunzi wake