Ivi wewe ni mwanafunzi wa chuo Kikuu kweli.Kama ni kweli badilika hata ukiwa unatoa Taarifa. Mfano,idadi kubwa unamaanisha nini? Sema tuelewe mfano,kati ya watu 700 watu Mia 500 au 600 wamepata supp. Afu cha pili,matokeo yao si ndiyo yaliyooanza kuchakachuliwa. Elimu yetu ya sasa ni sawa na ngoma ya Baikoko.