Duh..! Roho juu juu nikadhani yametoka kumbe swali. Matokeo bado ndugu yangu. Ngojea kidogo nadhan tuna wiki moja hivi mbele. Tutaendelea kujulishana...
Leo wameruhusu kuanza kuomba loan na ujue wakitoa loan board tangazo nao NECTA hawako mbali... which means hayana muda watayatoa!!!! Sizani kama yatavuka wiki mbili!!!!!
Matokeo yatatoka mwishoni mwa mwezi wa tisa wakati Vijana watiifu kwa serikali watakapokuwa wanamaliza nafunzo ya JKT na nashauri yatolewe huko kambini tu ili wale waliokwepa kwenda JKT waisome namba!
si wote ambao hatujaenda tumekwepa kwenda kaka
personally sikuchaguliwa kwenda hata shuleni kwetu tumemaliza almost 207 students but waliochaguliwa kwenda hawazidi 50