Acha assumption wewe. Ni imani ipi hiyo iliwahi kuhamisha milima?. Chamsingi madogo wafaulu wajaze nafasi katika vyuo vikuu vilivyozuka kama uyoga.
Kwa mujibu wa modern biological science,mlango wa sita wa fahamu ni imani.Kasome sana mshaija.