mwaka wao huuu maana sijawahi ona graf ya ufahuru inaongezeka ni kila mwaka nafuu ya uliopita sasa hapo ndo shazi mtaani karibuni mtaani ila msikate tamaa maana maisha ndo kipimo cha akili yakiwashinda na hayo basi ninyi ndo kwish neh.
Kwa waliofaulu hong era sana na msibweteke na majibu Haya watu wanatoka na one ya point 7 ,six anatoka na dv 0 .waliofeli poleni na muchukulie Kama ni changamoto kwenu!simama ulipoanguka chagua njia ya kupitia mpaka utimize ndoto zako.kila laheri