B BUCHANA Member Joined Feb 4, 2012 Posts 30 Reaction score 4 Feb 5, 2012 #1 Baada ya kutoa matokeo sasa ndo nimeelewa kigugumizi cha serikali kuyatoa huku watoto wake zaidi ya nusu hawakufikisha 30!! Sijui kutatokea miujiza gani ili 2012 washindwe wachache wastani uzingatiwe!
Baada ya kutoa matokeo sasa ndo nimeelewa kigugumizi cha serikali kuyatoa huku watoto wake zaidi ya nusu hawakufikisha 30!! Sijui kutatokea miujiza gani ili 2012 washindwe wachache wastani uzingatiwe!