Matokeo kata ya mnima-mtwara v.

Matokeo kata ya mnima-mtwara v.

Smart Man

Member
Joined
Jun 17, 2013
Posts
14
Reaction score
1
CCM imeshinda kata ya Mnima-Mtwara uwez amini wameshinda kwa kura 912 dhidi ya CUF-620, NCCR-486 Na CHADEMA-227.
 
Sishangai kwa hilo,aliyeturoga kisha kufa
 
watu wa ntwara matatizo yao yatakuwa yanaisha kama ndoa ya kikristo
 
Ndo walewale wazenji bari na wazenji bara!! Akila za mfukoni!
 
Back
Top Bottom