Elections 2010 Matokeo jimbo la Ukonga ni vipi jamani?

Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
15,287
10,839
Ndugu wadau mwenye taarifa ya matokeo jimbo la Ukonga tunaomba rusheni hapa. Mbona kimya sana kule? Chadema ilikuwa na nguvu sana kule wakati wa kampeni. Hebu kieleweke wadau!! Mnyika mambo sawa kwako sasa fuatilia majimbo ya Segerea na Ukonga. Kawe Halima anasubiri kutangazwa tu. Na pengine atakuwa ameshatangazwa tayari.
 
Jamani ukonga ni vipi? Tumeshalikatia tamaaa au ni kitu gani? Au tayari mna majibu kuwa ni ssm? hata yale ya tetesi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom