Wakati wowote kuanzia tarehe 15/10/2017hayatoki mwaka huu
Mkuu.. matokeo yanatoka mwezi huu.. Ila yale ya kupangiwa shule ndo huko disemba .duuh mitihani imetoka kufanyika hata mwezi na nusu haujapita unauliza matokeo kweli hili ni jipu isee....matokeo mpaka december ww
mm nimeshasahau maana tangu nimalize elimu ya msingi ni miaka 10 imepita sasaMkuu.. matokeo yanatoka mwezi huu.. Ila yale ya kupangiwa shule ndo huko disemba .
Hahahah inabidi uwe unanisalimia kijana umemaliza 2007.. siku hizi yanaanza matokeo kwanza.. Halaf ndo wanasubir selection.mm nimeshasahau maana tangu nimalize elimu ya msingi ni miaka 10 imepita sasa
hahahha...salamu yangu haitoki bila pesaHahahah inabidi uwe unanisalimia kijana umemaliza 2007.. siku hizi yanaanza matokeo kwanza.. Halaf ndo wanasubir selection.
Duuu kumbe humu tupo na watoto wetu kabisa,,,mimi Ndio nakaribia miaka 10 tangu nipate degree yangu ya kwanzamm nimeshasahau maana tangu nimalize elimu ya msingi ni miaka 10 imepita sasa
Bado yanaendelea kupikwa isije yakaepuliwa kabla hayajaiva Kichwa Mchongoko akatumbua watu.Wakuu naomba kuuliza matokeo ya darasa la Saba yanatoka lini
hahahaaha...jamii forum kwani ni ya wazee tu??Duuu kumbe humu tupo na watoto wetu kabisa,,,mimi Ndio nakaribia miaka 10 tangu nipate degree yangu ya kwanza
Avator yako haifanani na umri wakoDuuu kumbe humu tupo na watoto wetu kabisa,,,mimi Ndio nakaribia miaka 10 tangu nipate degree yangu ya kwanza