Wakuu kuna wengi waliomaliza darasa la saba 2010 kurudi nyuma hawakubahatika kuona matokeo yao..je wafanyeje ili waweze kuyaona especially humu mtandaoni
Wakuu kuna wengi waliomaliza darasa la saba 2010 kurudi nyuma hawakubahatika kuona matokeo yao..je wafanyeje ili waweze kuyaona especially humu mtandaoni
Mkuu hicho kipindi matokeo ya darasa la saba yalikuwa hayawekwi kwenye mtandao, ispokuwa yalikuwa yanabandikwa shuleni, kwahiyo mwenye kutaka matokeo ya kipindi hicho aende shule aliyomalizia anaweza kupata matokeo yake