Matokeo chanja inawezekana

FROWIN

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
213
84
*MFUMO WA RANKING NA NAFASI YA TANZANIA KATIKA MASHINDANO YA CAF*

*HISTORIA FUPI*
Shirikisho la soka barani Africa CAF kabla ya mwaka 2004 lilikuwa na mashindano makubwa matatu 1. Champion League 2. African Winners Cups 3. CAF Cup na kila mashindano yalikuwa yanachukua ushiriki wa timu moja kila nchi.

Mnamo mwaka 2004 CAF Wakaunganisha mashindano mawili Winners Cup na Caf cup kuwa Caf Confederation Cup - CC hivyo kufanywa kuwa na mashindano makubwa mawili tu Confederation na Champion League-CL tu na kufanywa kushiriki kwa kila nchi muwakilishi mmoja kwa kila shindano na extra kutoka kwa mfumo wa RANKING ndio Kulikozaliwa rasmi ni mfumo unaotumika na UEFA pia.

*RANKING*
Mfumo huu unafanya kazi CAF kwa kupata timu za ziada katika uwakilishi jumuishi wa ziada katika nchi kwa kuweka points ambazo wingi wa point hizo kwa kila nchi kutokanana na ushiriki wa timu zake katika mashindao yanayopita wanafanya kupata muwakilishi wa jumla ya nafasi za nchi 12 za ziada zinazopatikana toka kwa jumla wa RANKING na zinaongezeka timu moja zaidi kwa kila mashindano ya CAF na kuwa timu 2 kwa shindano na kwa nchi jumla timu 4.

Mfumo huu unatoka mgawanyiko wa points kwa kila nafasi timu mhusika inapofikia na kuzidisha kwa idadi ya mwaka Alioshiriki kutokana na jedwali la ranking Linalobadilika kila mwaka kutokana na uwiano wa miaka mitano ya mashindano husika.
Mfumo huu unatumika kuanzia Group Stage kwa mashindano yote.
*Mfano:*
Sasa mwaka 2019 tunarudi miaka 5 nyuma hivyo hesabu inatumika ni kutoka 2013 hadi 2017 kwa kuanza na point 0.5 hadi 6 kutegemea na shindano na mwaka wa nyuma kabisa 1 hadi 5 hizi ndio namba za kuzidisha kwa mwaka husika.

*POINTS*
Kwenye Caf Champion League point zinaanzia 1 kwenda mpaka 6.
4th - 1
3rd - 2
Quarter final - 3
Semi final - 4
Runner up - 5
Champion - 6

Wakati kwa Caf Confederation Cup points zinaanzia 0.5 hadi 5.
4th - 0.5
3rd - 1
Quarter final - 2
Semi final - 3
Runnerup - 4
Champion - 5

*MIAKA HUSIKA*
Miaka husika ni mitano ya nyuma ya mashindano na matokeo yake yanatumikia kwa mashindano ya miaka miwili mbele yake mfano mashindano haya ya sasa ni matokeo ya 2017/2018 yanaangaliwa toka 2013 - 2017 na matokeo ya mashindano haya yanatumika katika mashindano ya mwaka 2020/2021(2015-2019) na sio yajayo ya 2019/2020(2014-2018).

*TANZANIA*
Nafasi ya sasa Ya Nchi yetu kwenye mfumo wote wa RANKING upo kama ifuatavyo:
Sasa *Tuna points 3* Tulizozipata kutokana na mshindano Aliyoshikiri Yanga 2016 na 2018.
Mwaka huu tunawakilishwa na Simba mpaka sasa Simba ipo katika hatua ya mwisho ya kuvuka groups Stage kama kufanikiwa itakuwa hivi
4th - 1x5= 5 + 3 tulizonazo = 8
3rd - 2x5=10 + 3 tulizonazo = 13
Group Stage 3x5=15+3= *18 points*
Semi final 4x5= 20+3= *23 Points*
Hivyo ndio hali halisi ya points Itakavyokuwa kwa nafasi itakavyokuwa.

*NAFASI YETU YA USHIRIKI*
Katika mashindano haya ya sasa ya Caf Yanayoendelea nafasi yetu Tunaitegemea Simba ili kuweka kupata points za kutosha na katika kuvuka group stage tukivuka kwenda Quarter final tunakuwa kama nchi na 18 points.
Katika mpangilio uliopo wa mashindano ya 2020/2021 Kuna Nchi 10 zipo na point kubwa zaidi ya 30 hivyo ni wazi wameingia direct hivyo kufanya nafasi zilizowazi ni MBILI TU ili kufikisha nchi 12.

Nchi zilizopo katika harakati ya kupata nafasi hizo 2 ni nchi 4 ambazo ni hizi Tanzania, Angola, Ivory Coast na Congo Brazavile.

*Angola*
Now ina 19 points
Timu inayoshiriki - Atletico Petro de Luanda inacheza mechi ya mwisho na Gor Mahia.
Haijawahi kushinda Away na mechi ya kwanza home alimfunga Gor Mahia 2 kwa 1.
Akishinda anaenda direct group Stage.
Matokeo ya jumla itakuwa hivyo
4th - 0.5x5= 2.5 + 19= 21.5
3rd - 1x 5= 5 + 19 = 24
Group Stage 2x5=10+19= *29 points.*

*Ivory Coast*
Now ina 10 points
Timu inayoshiriki - Asec Mimosas inacheza mechi ya mwisho na Lobi Lobi Stars ya Nigeria.
Haijawahi kushinda Away na mechi ya kwanza home alimfunga Lobi 1 kwa 0.
Akishinda anaenda direct group Stage.
Matokeo ya jumla itakuwa hivyo
4th - 1x5= 5 + 10= 15
3rd - 2x 5= 10 + 10 = 20
Group Stage 3x5=15+10= *25 points.*

*CONGO BRAZAVILE*
Now ina 9 points
Timu inayoshiriki - Associate Sportive Otoho D'oyo inacheza mechi ya mwisho na Raja Club ya Morocco.
Haijawahi kupoteza homevna mechi ya kwanza away alitoka draw 0 kwa 0 na Raja.
Akishinda anaenda direct group Stage.
Matokeo ya jumla itakuwa hivyo
4th - 0.5x5= 2.5 + 9= 11.5
3rd - 1x 5= 5 + 9 = 14
Group Stage 2x5=10+9= *19 points*

*PICHA YA USHIRIKI*
Kutokana na points zilizopo kwenye timu shindani kwa Tanzania kuna plan A na B ili kuweka kushiriki

*Plan A*
Ili Tanzania tuweze kushiriki kwa timu 4 kwa 2 Champion League na 2 Confederation Cup katika mashindano 2020/2021 inabidi tuone Yafuatayo:
1. Simba kushinda kuingia Quarter final.
2. AS Otoh ifungwe.
3. Asec Mimosas ifungwe.

*Plan B*
Inaposhindikana Plan A lazima kuwepo na plan B hivyo ili kuweza kushiriki mashindano ya 2021/2022 lazima Ligi ya mwaka huu 2019 update washiriki wazuri wenye uwezo wa kushindana na kufika Group Stage za michuano ya CAF 2019/2020.
Kwa sababu inapofikia muda huo Kama Mtanzania ttutakuayumebakiwa na points hizi
2016 = 0.5x1= 0.5 Yanga
2018 = 0.5x3= 1.5 Yanga
2019 = 3x4= 12 Simba
Jumla 14 points kabla ya kujumlisha na Zitakazopatikana katika mashindano hayo yajayo ambayo ukiweza tu kuwa 3rd kwa kila timu tunapata sushi inayotosha kuongezea timu.

*MWISHO*
Ili kuweza kupata mafanikio ambayo tunahitaji ya soka kwa nchi yetu hatuna rudi sasa kuombea Timu ya Simba kama nchi kushinda mchezo wake ujao weekend hii dhidi ya As Vita ili kuweka njia yetu kuwa ya uhakika kama nchi na maendeleo ya soka kwa jumla Tanzania.

*MATOKEO CHANJA INAWEZEKANA*

14/03/2019

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maelezo haya basi tz tunaweza kuongeza timu.Kikubwa simba ishinde leo tukijumlisha na zile za yanga basi tutafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom