Matokeo bado?

Taarifa za siri,ni kwamba ccm na cdm watabadilishana kura! Na ccm atatangazwa mshindi
Acha maziara wewe, labda wabadilishane na TLP ya Mrema. Peoples Power hiyooooooo.... imepeta, kwa kishondooooooooooooo.
 
mpaka hapo Hongera sana CDM, na hongera sana Nasari. CCM msifikirie kuchakachua manake mkishinda arumeru ni aibu kwenu na kujidharirisha kwa wapiga kura kwani asiyekubali kushindwa sio mshindani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…