Huyu mtu angekuwa karibu anastahili kipigo tu, hakuna haja ya kuzungumza nae. Tutakususia kuchangia maada zako hapa jf. ningekuwa na uwezo ni kukufungia kupost thread kwa miezi sita. Unataka kutuaribia Super monday yetu.
Leo nimewahi kazini mapeema na nachapa kazi kweli kweli Raisi Mpya asijenifukuza kazi. Na kweli nikiangalia huku naona Dr wa kweli anaelekea.
Natamani sana Malaria Sugu nn yule bwamdogo Burn (yule mvaa kihereni yule)