Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,634 Jul 13, 2016 #1 Habari zenu waungwana,mie ni mkazi wa Dar,nilikuwa napenda kuuliza na kujua ni wapi yanakopatikana matofali yaliyotumika niweze kununua,Mwenye kujua mahali yanakopatikana nitafurahi mkinisaidia,aliyetayari kunisaidia ani pm
Habari zenu waungwana,mie ni mkazi wa Dar,nilikuwa napenda kuuliza na kujua ni wapi yanakopatikana matofali yaliyotumika niweze kununua,Mwenye kujua mahali yanakopatikana nitafurahi mkinisaidia,aliyetayari kunisaidia ani pm
KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 Jul 13, 2016 #2 Nenda bonde la mzimbazi walikokuwa wanabomoa