Matofali ya Interlocking,bei zake kwa sq meter

sithole

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
306
Reaction score
116
Wakuu heri ya sikukuu ya Noeli,nlikua naulizia bei ya tifali za interlocking kwa sq meter ni kiasi gani?pia ukilinganisha na hizi tofali za kawaida kuna unafuu kwa kiasi gani??nipo dar wakuu.
 
kuna uzi mmoja utafute uko humu utakusaidia sana.
 
Bei ni elfu kumi na tano per sqm, Labour charge ni elfu nne per sqm
 
Back
Top Bottom