Matofali barabarani ni chanzo kikubwa cha ajali

shayookoko

JF-Expert Member
Jan 2, 2014
467
276
Hili jambo linaudhi sana, sijui ni ukandarasi wa wapi huu wa kuweka mawe makubwa barabarani km majambazi, kuna hii barabara ya hovyohovyo ya kutokea mwenge hadi Morocco,

Kuna watu wanapata ajali za kutisha kimya kimya, hasa usiku, watu wanaulemavu wa kudumu kutokana na hii mitofali! Mfano mwingine ni hii barabara isiyoisha, inajengwa karibia mwaka wa 4 sasa, nayo imewekewa mitofali huu mwezi wa 11 sasa, watu wanaparamia usiku na kuvunjika miguu balaa!

Wahusika toeni huu uchafu haraka sana.
 
Back
Top Bottom