Matiti kuwasha mpaka kuleta mchubuko kwenye chuchu

Scovyboo

Member
Aug 6, 2018
33
36
Habari zenu,

Kuna huu ugonjwa unanisumbua, matiti yanawasha na mpaka kuleta mchubuko kwenye chuchu.

Nimeenda Ocean Road wamesema ni magonjwa ya ngozi, watu wananiambia huu ugonjwa unaitwa kiguma kwa wapare na wamasai na wasambaa ndo wanajua dawa yake hivyo naombeni kama kuna mtu anajua wapi nitapata hizo dawa za mitishamba anisaidie.
 
Back
Top Bottom