Ahsante sana itabid nikamwone dr wa akina mama sababu nadhani niliyemwona hakuwa sahihi....
Pole sana. Hebu google 'ductile papilloma' halafu usome dalili zake uone kama unazo. Kifupo hiyo ni tatizo ambalo sio kansa ila linahitaji vipimo zaidi. Dr wa wanawake hatakusaidia sana, unahitaji kumuona specialist wa manyonyo. Ni-pm kama utahitaji contact dr kama upo dar. Usiache kufuatilia tafadhali
Ahsante sana itabid nikamwone dr wa akina mama sababu nadhani niliyemwona hakuwa sahihi....
kama auna mtoto wewe bado ujawa na sifa ya kuitwa mama utamsumbua dk BURE.
sidhani kama nitamsumbua kwani ndo napoelekea kwenye umama sio mbaya nikajua baadhi ya vitu kabla sijafikia huko
jiangalienielekeze hospitali yako ilipo nije ulione live....
nayo ni sababu au unatania?
ilo ni tatizo mdogo wangu charu hosp fasta, kwa kawaida matiti hayatakiwi kutoa maziwa otherwize umejifungua au mtoto mchanga analinyonya hata kama sio mzazi maziwa yanaweza toka,
Ulishwahi kutoa mimba/mimba kutoka? Lini?
habari zenu wana JF...
Mimi ni mwanamke 26yrs nina kama miezi miwili tangu nigundue tatizo la matiti yangu kutoa maziwa ....mwanzo nilihisi nitakuwa nina mimba ila nimejaribu kucheki hakuna na mzunguko wangu wa hedhi upo kawaida kabisa!!!!!!
Ninaomba msada wenu nina tatizo gani au ni kawaida?huwa yanatoka nikiyabinya..
Natanguliza shukrani ......
Nipe ninyonye hadi yakauke
jiangalie
kwa nn usinishauri niyakamue mwenyewe hadi yaishe?
kwa nn usinishauri niyakamue mwenyewe hadi yaishe?
Ni PM ili uwe huru dadangu
Kama unaweza kujikamua mwenyewe basi fanya hivyo.
Ila kama ukininyonyesha mimi itakuwa ni twice the fun.
duuh! huu c ushauri ndg yangu....!ulitaka yatoe sperm au damu??