Vumilia tu, wataalamu watakuja
Poa mpendwa navumilia mwayaVumilia tu, wataalamu watakuja
Ukiwa na Shida yoyote ileNdugu zangu mama yangu anaumwa romatizimu nimeshindwa kuiandika kitaalamu. Anapata maumivu makali ya mikono hadi analia. Hospitali walimpa diclofenac na muvera lakini hazijamsaidia. Kwa anayefahamu dawa naomba anisaidie.