samahan nisaidie kuna frend wangu anatumia nokia n70 ina suport vdeo call lakini tumeambiwa na costomer care wa tgo kuwa ina wezekana kutumia huduma hyo ila kuna seting zake.je kuna yeyote anielekeze naombeni
Hakikisha kwenye network setting umechagua ya zote mbili sio ya gsm pekee maana hapo itakua inapita 2G nenda kwenye settings utaipata nafikili kwenye network settings or kwenye call settings sina n70 karibu ningekupa sehemu usika