vitangaye
Member
- Jul 28, 2015
- 45
- 26
Ndugu, wanajf kisima cha fikra.Katika pitapita zangu za kutafuta kuongeza maarifa zaidi nikajikuta ninasoma kitabu kitakatifu na si kingine Bali ni bible.niliposoma kitabu cha mwanzo 2:24 '"kwa hiyo mwanaume atamwacha baba yake na mama yake ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja" yaani 1+1=1 while mathematian wanatwambia 1+1=2. Swali langu ni hili inawezekanaje 1+1 ikawa 1? Baada ya hapo I conclude that number sometimes lie dont trust more on numbers.Mwenye ufahamu zaidi kuhusu hili.